newsare.net
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limezindua mfumo mpya wa ukataji tiketi kwa njia ya kielektroniki ikiwa ni mkakati wa kujiimarisha katika utoaji wa huduma na ukusanyaji mapato.Ukataji tiketi wa treni Tanzania sasa kielektroniki
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limezindua mfumo mpya wa ukataji tiketi kwa njia ya kielektroniki ikiwa ni mkakati wa kujiimarisha katika utoaji wa huduma na ukusanyaji mapato. Read more











