newsare.net
Wakati jitihada za kudhibiti kusambaa ugonjwa wa corona nchini Tanzania zikiendelea, wafanyabiashara wa mabasi jijini Mwanza wamelia mabasi kuondoka kituoni yakiwa matupu huku wengine wakiyaegesha baada ya kukosa wasafiri.Wamiliki wa mabasi Mwanza walia uchache wa abiria
Wakati jitihada za kudhibiti kusambaa ugonjwa wa corona nchini Tanzania zikiendelea, wafanyabiashara wa mabasi jijini Mwanza wamelia mabasi kuondoka kituoni yakiwa matupu huku wengine wakiyaegesha baada ya kukosa wasafiri. Read more











