newsare.net
2016... ‘Ostabei’ jijini Dar es Salaam. Ilikuwa ni mida mibovu. Kichwani nimetanguliza ‘sanitaiza’ kadhaa. Si zile za kutakatisha mikono kukwepa ‘korona’. Hapana! Ni za kulainisha akili ifanye kazi haraka. Jambo la kujishauri mara mbili sikuhitajNDANI YA BOKSI: Ukiyaishi maisha ya King Kiba, joto la corona litapita hivi...
2016... ‘Ostabei’ jijini Dar es Salaam. Ilikuwa ni mida mibovu. Kichwani nimetanguliza ‘sanitaiza’ kadhaa. Si zile za kutakatisha mikono kukwepa ‘korona’. Hapana! Ni za kulainisha akili ifanye kazi haraka. Jambo la kujishauri mara mbili sikuhitaji muda huo. Read more











