newsare.net
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amesema baadhi ya wakazi wa mkoa huo watakufa njaa kwa sababu ya kujifungia ndani kwa kigezo cha kuhofia ugonjwa wa virusi vya corona.Makonda: Ukijifungia ndani kisa corona utakufa njaa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amesema baadhi ya wakazi wa mkoa huo watakufa njaa kwa sababu ya kujifungia ndani kwa kigezo cha kuhofia ugonjwa wa virusi vya corona. Read more











