newsare.net
Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Yusuph Mhilu amesema kwa sasa kipaumbele chake si kuzichezea Simba au Yanga, bali kucheza soka la kulipwa nje ya nchi msimu ujao na kwamba mipango inaenda vizuri.Mhilu hayupo Simba, Yanga anawaza nje
Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Yusuph Mhilu amesema kwa sasa kipaumbele chake si kuzichezea Simba au Yanga, bali kucheza soka la kulipwa nje ya nchi msimu ujao na kwamba mipango inaenda vizuri. Read more











