newsare.net
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) limeshindwa kuendeleza hekta 250.42 sawa na asilimia 77 ya maeneo maalum yaliyotengwa kwa ajili ya viwanda.Ripoti ya CAG yabaini NDC kushindwa kuendeleza baadhi ya maeneo
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) limeshindwa kuendeleza hekta 250.42 sawa na asilimia 77 ya maeneo maalum yaliyotengwa kwa ajili ya viwanda. Read more











