newsare.net
Mamlaka ya Usimamizi wa Nishati na Maji (Ewura) imeshindwa kuthibitisha matumizi ya lita bilioni 1.4 zilizoingia nchini kwa miaka mitatu huku Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikikosa mabilioni ya kodi na tozo ya nishati hiyo.Miaka mitatu Tanzania yapoteza lita bilioni 1.4 za petroli, kodi
Mamlaka ya Usimamizi wa Nishati na Maji (Ewura) imeshindwa kuthibitisha matumizi ya lita bilioni 1.4 zilizoingia nchini kwa miaka mitatu huku Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikikosa mabilioni ya kodi na tozo ya nishati hiyo. Read more











