newsare.net
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla amewajibu wanaomsakama katika mitandao ya kijamii wakitaka awajibike baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) kubaini matumizi ya Sh2.58 bilioni yaliyofanywa nKigwangalla ajibu matumizi ya Sh2 bilioni kinyume na utaratibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla amewajibu wanaomsakama katika mitandao ya kijamii wakitaka awajibike baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) kubaini matumizi ya Sh2.58 bilioni yaliyofanywa na wizara hiyo nje ya bajeti na kabla ya kupitishwa na Bunge. Read more











