newsare.net
Mamlaka ya Hewa Tanzania(TMA) imesema mabadiliko makubwa yanayoendelea katika Bahari ya Hindi na baadhi ya maeneo ya misitu ya Congo imesababisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro Kaskazini kutarajiwa kunyesha mvua juu ya wastani.Mvua kunyesha wastani wa juu Dar, Pwani
Mamlaka ya Hewa Tanzania(TMA) imesema mabadiliko makubwa yanayoendelea katika Bahari ya Hindi na baadhi ya maeneo ya misitu ya Congo imesababisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro Kaskazini kutarajiwa kunyesha mvua juu ya wastani. Read more











