newsare.net
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea kutoka kwa wadau msaada wa fedha pamoja na vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) wenye thamani ya Sh 6.226 bilioni.Wadau wamkabidhi Waziri Mkuu Sh6.2 bilioni kukabili virusi vya Corona
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea kutoka kwa wadau msaada wa fedha pamoja na vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) wenye thamani ya Sh 6.226 bilioni. Read more











