newsare.net
Mamlaka ya Hewa nchini(TMA) imesema takwimu zinaonyesha kuwa joto la nchi linaendelea kuongezeka kwa kiwango cha juu kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka huu ambapo joto la usiku limeongezeka zaidi ikilinganishwa na joto la mchanaTMA yaelezea hali ya joto lililopo
Mamlaka ya Hewa nchini(TMA) imesema takwimu zinaonyesha kuwa joto la nchi linaendelea kuongezeka kwa kiwango cha juu kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka huu ambapo joto la usiku limeongezeka zaidi ikilinganishwa na joto la mchana Read more











