newsare.net
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania imeipa mwezi mmoja kampuni ya Benchmark 360 ltd kumlipa fedha zote, Meshark Fukuta ambaye ni mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya uimbaji la BSS mwaka 2019.VIDEO: Waziri aipa mwezi mmoja kampuni ya Benchmark kumlipa fedha mshindi wa BSS
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania imeipa mwezi mmoja kampuni ya Benchmark 360 ltd kumlipa fedha zote, Meshark Fukuta ambaye ni mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya uimbaji la BSS mwaka 2019. Read more











