newsare.net
Southampton imekuwa klabu ya kwanza ya Ligi Kuu ya England kusogeza mbele malipo ya mishahara ya wachezaji huku kiongozi wa juu wa chama cha wanasoka akisema wanachangia sehemu yao kwa taifa wakati huu wa ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, ulioikumba dunWachezaji Southmpton waachia mishahara kupambana na corona
Southampton imekuwa klabu ya kwanza ya Ligi Kuu ya England kusogeza mbele malipo ya mishahara ya wachezaji huku kiongozi wa juu wa chama cha wanasoka akisema wanachangia sehemu yao kwa taifa wakati huu wa ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, ulioikumba dunia. Read more











