newsare.net
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali mstaafu, Emmanuel Maganga ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama mkoani humo kuimarisha ulinzi katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya karantini kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya watu waliotengwa kuonekana mtaanRC aagiza karantini zilindwe kuepusha wanaotoroka
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali mstaafu, Emmanuel Maganga ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama mkoani humo kuimarisha ulinzi katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya karantini kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya watu waliotengwa kuonekana mtaani wakitafuta chakula. Read more











