newsare.net
Naibu Waziri wa Afya, Dk Faustine Ndugulile amewashauri watu wenye magonjwa mbalimbali kuchukua tahadhari zaidi katika kukabiliana na ugonjwa wa corona ambao hadi sasa maambukizi yake nchini yamefika kwa watu 32 na kupoteza maisha ya watu watatu.Wenye magonjwa haya wachukue tahadhari zaidi dhidi ya corona
Naibu Waziri wa Afya, Dk Faustine Ndugulile amewashauri watu wenye magonjwa mbalimbali kuchukua tahadhari zaidi katika kukabiliana na ugonjwa wa corona ambao hadi sasa maambukizi yake nchini yamefika kwa watu 32 na kupoteza maisha ya watu watatu. Read more











