newsare.net
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameishukuru Serikali ya China kwa misaada ambayo imetoa katika kukabiliana na ugonjwa wa homa ya mapafu unaotokana na maambukizi ya virusi vya corona (Covid-19).Waziri Mkuu wa Tanzania ateta na Balozi wa China
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameishukuru Serikali ya China kwa misaada ambayo imetoa katika kukabiliana na ugonjwa wa homa ya mapafu unaotokana na maambukizi ya virusi vya corona (Covid-19). Read more











