newsare.net
Mkuu wa Mkao wa Mwanza, John Mongella amesema hawataruhusu mikusanyiko ya aina yoyote wakati wa kusherehekea sikukuu ya Pasaka badala yake amewataka watu kusherehekea sikuku hiyo wakiwa nyumbani ili kuepuka ugonjwa wa corona.Mongella: Hatutaruhusu mikusanyiko wakati wa pasaka
Mkuu wa Mkao wa Mwanza, John Mongella amesema hawataruhusu mikusanyiko ya aina yoyote wakati wa kusherehekea sikukuu ya Pasaka badala yake amewataka watu kusherehekea sikuku hiyo wakiwa nyumbani ili kuepuka ugonjwa wa corona. Read more











