newsare.net
Mfanyabiashara wa mjini Moshi, African Mlay (58), amefikishwa kortini akituhumiwa kuandika taarifa kwenye mtandao wa Jamiiforums kuwa Tanzania ina wagonjwa zaidi ya 200 wa Covid-19.Kortini akidaiwa kusema Tanzania ina wagonjwa 200 wa corona
Mfanyabiashara wa mjini Moshi, African Mlay (58), amefikishwa kortini akituhumiwa kuandika taarifa kwenye mtandao wa Jamiiforums kuwa Tanzania ina wagonjwa zaidi ya 200 wa Covid-19. Read more











