newsare.net
Mvulana kutokana jamii ya Yanomami amefariki baada ya kuambukizwa virusi vya corona, mamlaka nchini Brazil zilisema, na kuibua hofu kwa kabila la Amazon ambalo linajulikana kwa udhaifu wa kuambukizwa kirahisi magonjwa.Mvulana kutoka Amazon afariki kwa corona
Mvulana kutokana jamii ya Yanomami amefariki baada ya kuambukizwa virusi vya corona, mamlaka nchini Brazil zilisema, na kuibua hofu kwa kabila la Amazon ambalo linajulikana kwa udhaifu wa kuambukizwa kirahisi magonjwa. Read more











