newsare.net
Rais wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita ametangaza kutenga fungu la fedha za kusaidia wananchi masikini na kampuni zilizoathiriwa na ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, huku maambukizi yakizidi kuongezeka katika taifa hilo la Afrika Masharibi linalosumbuliwMali yatangaza fungu kusaidia masikini, kampuni kuikabili corona
Rais wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita ametangaza kutenga fungu la fedha za kusaidia wananchi masikini na kampuni zilizoathiriwa na ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, huku maambukizi yakizidi kuongezeka katika taifa hilo la Afrika Masharibi linalosumbuliwa na vita. Read more











