newsare.net
MAISHA magumu, lakini matamu. Ronaldinho ametoka kwenye gereza lenye ulinzi mkali alilokuwa amefungwa huko Paraguay kwa dhamara ya Pauni 650,000, lakini ana sharti la kukaa ndani kikiwa ni kifungo akishikiliwa huko kwenye hoteli ya kifahari ya nyota nne, hataHaya ndio maisha ya Ronaldinho baada ya kutoka Gerezani nchini Paraguay
MAISHA magumu, lakini matamu. Ronaldinho ametoka kwenye gereza lenye ulinzi mkali alilokuwa amefungwa huko Paraguay kwa dhamara ya Pauni 650,000, lakini ana sharti la kukaa ndani kikiwa ni kifungo akishikiliwa huko kwenye hoteli ya kifahari ya nyota nne, hatakiwi kutoka wakati akisubiri uchunguzi wake wa kughushi hati ya kusafiria. Ronaldinho atakuwa chini ya ulinzi wakati atakapokuwa kwenye hoteli hiyo ya Palmaroga iliyopo Asuncion. Read more











