newsare.net
Nimeolewa huu mwaka wa pili, lakini sina raha na ndoa yangu. Mume wangu kila siku lazima anywe pombe nami harufu yake inanikera. Nimesema naye lakini hanisikii, kwa mwendo huu siwezi kuvumilia.ANTI BETTIE: Natamani aniache, harufu ya pombe anazokunywa inanishinda
Nimeolewa huu mwaka wa pili, lakini sina raha na ndoa yangu. Mume wangu kila siku lazima anywe pombe nami harufu yake inanikera. Nimesema naye lakini hanisikii, kwa mwendo huu siwezi kuvumilia. Read more











