newsare.net
Idadi ya walioambukizwa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona kisiwani Zanzibar imeongezeka kutoka tisa hadi 12 baada ya wagonjwa watatu zaidi kuripotiwa leo Jumatatu Aprili 13, 2020.Wagonjwa wapya watatu wa corona wabainika Zanzibar
Idadi ya walioambukizwa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona kisiwani Zanzibar imeongezeka kutoka tisa hadi 12 baada ya wagonjwa watatu zaidi kuripotiwa leo Jumatatu Aprili 13, 2020. Read more











