newsare.net
HUENDA mashabiki wa Yanga wakasonya mitaani, huku wenzao wa Simba wakachekelea baada ya Kocha Sven Vanderbroeck kumaliza ubishi juu ya kiungo fundi wa mpira aliyepo kwenye kikosi cha Msimbazi, Said Ndemla anayetajwa kuwindwa Jangwani kwa mara nyingine.Kocha wa Simba Sven afunguka sakata la Ndemla kuwindwa na Yanga
HUENDA mashabiki wa Yanga wakasonya mitaani, huku wenzao wa Simba wakachekelea baada ya Kocha Sven Vanderbroeck kumaliza ubishi juu ya kiungo fundi wa mpira aliyepo kwenye kikosi cha Msimbazi, Said Ndemla anayetajwa kuwindwa Jangwani kwa mara nyingine. Read more











