newsare.net
Mkurugenzi wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amewataka watanzania kuzingatia maagizo na mapendekezo yanayotolewa na Serikali ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kwa kuwa havichagui Mkristo wala Muislamu.Ujumbe wa Butiku kuhusu corona
Mkurugenzi wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amewataka watanzania kuzingatia maagizo na mapendekezo yanayotolewa na Serikali ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kwa kuwa havichagui Mkristo wala Muislamu. Read more











