newsare.net
Askari wa kituo cha Polisi Kia wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, Sajenti Juma Ango anadaiwa kuuawa na watu wasiojulikana na kutupwa mtaroni karibu na mgahawa wa chakula Bora mita chache kutoka kituo cha Polisi Hai Mjini.Mwili wa askari wakutwa mtaroni karibu na kituo cha polisi
Askari wa kituo cha Polisi Kia wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, Sajenti Juma Ango anadaiwa kuuawa na watu wasiojulikana na kutupwa mtaroni karibu na mgahawa wa chakula Bora mita chache kutoka kituo cha Polisi Hai Mjini. Read more











