newsare.net
UKISIKIA kununua ugomvi ndiko huku sasa. Matajiri wa soka nchini, Azam FC wamejitosa katika vita vya vigogo Simba na Yanga kuwania saini ya straika Mkongomani, Mpiana Mozizi anayekipiga FC Lupopo ya DR Congo.Azam yanunua ugomvi Simba, Yanga
UKISIKIA kununua ugomvi ndiko huku sasa. Matajiri wa soka nchini, Azam FC wamejitosa katika vita vya vigogo Simba na Yanga kuwania saini ya straika Mkongomani, Mpiana Mozizi anayekipiga FC Lupopo ya DR Congo. Read more











