newsare.net
Zikiwa zimepita siku tano toka mwanamuziki wa bongo fleva Alikiba kutoa wimbo mpya wa Dodo, vijana wake wawili kutoka lebo yake ya Kings Music, Cheed na Killy wametangaza rasmi kuondoka kwenye label hiyo.Utata Cheed na Killy kuondoka Kings Music ya Alikiba
Zikiwa zimepita siku tano toka mwanamuziki wa bongo fleva Alikiba kutoa wimbo mpya wa Dodo, vijana wake wawili kutoka lebo yake ya Kings Music, Cheed na Killy wametangaza rasmi kuondoka kwenye label hiyo. Read more











