newsare.net
Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko la wagonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona nchini kutoka 53 hadi 88 baada ya wagonjwa wapya 29 kuripotiwa leo Jumatano Aprili 15, 2020.Tanzania yatangaza wagonjwa wapya 29 wa corona
Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko la wagonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona nchini kutoka 53 hadi 88 baada ya wagonjwa wapya 29 kuripotiwa leo Jumatano Aprili 15, 2020. Read more











