newsare.net
Mamia ya wananchi wa Wilaya ya Hai, leo wamejitokeza kuaga mwili wa askari wa upelelezi kituo cha Polisi Kia, Sajenti Juma Chriphord Yango (59), aliyeuwawa na watu wasiojulikana na mwili wake kutupwa kwenye Mtaro.Mwili wa polisi aliyeuawa Hai waagwa
Mamia ya wananchi wa Wilaya ya Hai, leo wamejitokeza kuaga mwili wa askari wa upelelezi kituo cha Polisi Kia, Sajenti Juma Chriphord Yango (59), aliyeuwawa na watu wasiojulikana na mwili wake kutupwa kwenye Mtaro. Read more











