newsare.net
Ni simanzi. Ndivyo unavyoweza kusema ukizungumzia ajali iliyotokea leo asubuhi Jumanne Aprili 15, 2020 katika kijiji cha Magawa kilichopo wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani na kusababisha vifo vya watu 21 na majeruhi 17.Walichokisema ndugu kuhusu ajali ya Mkuranga iliyosababisha vifo 21
Ni simanzi. Ndivyo unavyoweza kusema ukizungumzia ajali iliyotokea leo asubuhi Jumanne Aprili 15, 2020 katika kijiji cha Magawa kilichopo wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani na kusababisha vifo vya watu 21 na majeruhi 17. Read more











