newsare.net
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu nchini Tanzania imeueleza upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Tito Magoti na mwenzake, Theodory Giyani kukamilisha upelelezi katika maeneo yaliyobaki ili kesi iendelee katika hatua nyingine.Mahakama yataka uchunguzi kesi ya Tito wa LHRC kukamilika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu nchini Tanzania imeueleza upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Tito Magoti na mwenzake, Theodory Giyani kukamilisha upelelezi katika maeneo yaliyobaki ili kesi iendelee katika hatua nyingine. Read more











