newsare.net
Wakati wanasayansi duniani wakiharakisha kupatikana kwa chanjo ya ugonjwa hatari wa virusi vya corona, Rais wa Marekani, Donald Trump, ameamuru nchi yake isiipe fedha Shirika la Afya Duniani (WHO), akilituhumu kwa kushindwa kushughulikia janga hilo.Trump ainyima fedha WHO, dunia yamshukia
Wakati wanasayansi duniani wakiharakisha kupatikana kwa chanjo ya ugonjwa hatari wa virusi vya corona, Rais wa Marekani, Donald Trump, ameamuru nchi yake isiipe fedha Shirika la Afya Duniani (WHO), akilituhumu kwa kushindwa kushughulikia janga hilo. Read more











