newsare.net
Wajasiriamali wa teknolojia nchini Tanzania wameungana kushiriki katika mkutano wa kimataifa kupitia njia ya mtandao kujadili masuala mbalimbali yanayohusu sekta hiyo na jinsi ya kuweza kukuza mapato husasani katika masoko machanga.Seedstars na Tigo zaungana kufanikisha mkutano wa wajasiriamaali wa teknolojia Tanzania
Wajasiriamali wa teknolojia nchini Tanzania wameungana kushiriki katika mkutano wa kimataifa kupitia njia ya mtandao kujadili masuala mbalimbali yanayohusu sekta hiyo na jinsi ya kuweza kukuza mapato husasani katika masoko machanga. Read more











