newsare.net
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Musa Kisinza (25) mkazi wa kijiji cha Mwakitolyo wilayani Shinyanga kwa madai ya kutoa taarifa za uongo kuwa ana maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona.Aliyetoa taarifa za uongo kuwa ana corona nchini Tanzania akamatwa
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Musa Kisinza (25) mkazi wa kijiji cha Mwakitolyo wilayani Shinyanga kwa madai ya kutoa taarifa za uongo kuwa ana maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona. Read more











