newsare.net
Kumbuka, kwa upande wa tuzo za muziki, Grammy ndizo tuzo kubwa na za heshima zaidi kwa mwanamuziki yoyote yule duniani kwa zaidi ya miaka 60 sasa tangu zilipoanza kutolewa kwake. Yaani kuanzia Jay Z, Drake, Ray C, Alikiba, Ruby, Nandy au Adelle mpaka BarnabaMchongo wa Diamond, Zuchu, Tuzo za Grammy uko hivi
Kumbuka, kwa upande wa tuzo za muziki, Grammy ndizo tuzo kubwa na za heshima zaidi kwa mwanamuziki yoyote yule duniani kwa zaidi ya miaka 60 sasa tangu zilipoanza kutolewa kwake. Yaani kuanzia Jay Z, Drake, Ray C, Alikiba, Ruby, Nandy au Adelle mpaka Barnaba wote wanaota kupata tuzo hizi na kwa ambao wameshapata huenda bado wanaota kuvunja rekodi kwa kuzipata nyingi zaidi. Read more











