newsare.net
Mwenyekiti wa chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ameeleza masikitiko yake kuhusu kauli ya mgombea urais kupitia chama hicho, Bernard Membe kutangaza kuendelea na kampeni wakati chama hicho kimetangaza kumuunga mkono mgombea wa Chadema, Tundu LMaalim Seif: Tunamuunga mkono Lissu, Membe anawachanganya wananchi
Mwenyekiti wa chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ameeleza masikitiko yake kuhusu kauli ya mgombea urais kupitia chama hicho, Bernard Membe kutangaza kuendelea na kampeni wakati chama hicho kimetangaza kumuunga mkono mgombea wa Chadema, Tundu Lissu. Read more











