newsare.net
Amos Jeremia, baba mzazi wa Edward Katemi aliyepoteza mke, watoto watatu na mdogo wake katika ajali ya moto iliyotokea Pugu Stesheni jijini Dar es Salaam, amesema familia yake imemuachia Mungu tukio hilo.Familia: Tunamuachia Mungu ajali iliyowachukua ndugu zetu watano
Amos Jeremia, baba mzazi wa Edward Katemi aliyepoteza mke, watoto watatu na mdogo wake katika ajali ya moto iliyotokea Pugu Stesheni jijini Dar es Salaam, amesema familia yake imemuachia Mungu tukio hilo. Read more











