newsare.net
Rais wa zamani wa Burundi, Pierre Buyoya, ambaye kwa sasa ni mwakilishi maalum wa Umoja wa Afrika nchini Mali, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mrithi wake mwaka 1993, kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama ambao AFP imeonRais wa zamani Burundi afungwa maisha
Rais wa zamani wa Burundi, Pierre Buyoya, ambaye kwa sasa ni mwakilishi maalum wa Umoja wa Afrika nchini Mali, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mrithi wake mwaka 1993, kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama ambao AFP imeona nakala yake. Read more











