newsare.net
Kamati ya amani na maridhiano ya mkoa wa Morogoro imewatahadharisha vijana kutotumika na wanasiasa kuchochea vurugu na uvunjifu wa amani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020.Vijana Morogoro waonywa kuelekea uchaguzi mkuu
Kamati ya amani na maridhiano ya mkoa wa Morogoro imewatahadharisha vijana kutotumika na wanasiasa kuchochea vurugu na uvunjifu wa amani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020. Read more











