newsare.net
Serikali ya Tanzania imewakumbusha viongozi wa madhehebu ya dini kuacha kutumia majukwaa ya kisiasa kuwanadi wagombea wa vyama mbalimbali vya siasa kwani kufanya hivyo ni kuingilia uhuru wa kikatiba wa kila mtu kumchagua mgombea anayemtaka.Serikali ya Tanzania yawaonya viongozi wa dini wanaowapigia debe wanasiasa
Serikali ya Tanzania imewakumbusha viongozi wa madhehebu ya dini kuacha kutumia majukwaa ya kisiasa kuwanadi wagombea wa vyama mbalimbali vya siasa kwani kufanya hivyo ni kuingilia uhuru wa kikatiba wa kila mtu kumchagua mgombea anayemtaka. Read more











