newsare.net
Mgombea ubunge wa Bukoba Mjini (Chadema), Chief Kalumuna amesema hana imani na usalama wake akienda nyumbani kwake bila kuapishwa kwani kwa mazingira, hali ya kisiasa na joto la uchaguzi jimboni humo, lolote linaweza kumtokea na hivyo kushindwa kuapishwa keshMgombea ubunge Chadema aomba kulala rumande, polisi wamkamata
Mgombea ubunge wa Bukoba Mjini (Chadema), Chief Kalumuna amesema hana imani na usalama wake akienda nyumbani kwake bila kuapishwa kwani kwa mazingira, hali ya kisiasa na joto la uchaguzi jimboni humo, lolote linaweza kumtokea na hivyo kushindwa kuapishwa kesho Alhamisi Oktoba 22, 2020 kama msimamizi wa uchaguzi alivyopanga. Read more











