newsare.net
Msajili wa vyama vya siasa amekiandikia barua chama cha ACT Wazalendo akikitaka kijieleze kwa nini kisichukuliwe hatua kwa mwenyekiti wake, Maalim Seif Sharif Hamad kupanda jukwaa la mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu katika mkutano uliofanyika Moshi mjinMsajili ailima barua ACT Wazalendo, kisa Maalim Seif kupanda jukwaa moja na Lissu
Msajili wa vyama vya siasa amekiandikia barua chama cha ACT Wazalendo akikitaka kijieleze kwa nini kisichukuliwe hatua kwa mwenyekiti wake, Maalim Seif Sharif Hamad kupanda jukwaa la mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu katika mkutano uliofanyika Moshi mjini Oktoba 19 Read more