newsare.net
Naibu Waziri Kijaji ametoa pongezi hizo katika hafla ya uzinduzi wa huduma za Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) iliyofanyika katika makao makuu ya benki hiyo mkoani Kilimanjaro na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa KilimKCBL yapigwa jeki na CRDB, yaanza kutoa huduma
Naibu Waziri Kijaji ametoa pongezi hizo katika hafla ya uzinduzi wa huduma za Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) iliyofanyika katika makao makuu ya benki hiyo mkoani Kilimanjaro na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira na Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt Benard Kibese. Read more