newsare.net
Benki ya NMB imeshinda tuzo ya umahiri baada ya kuibuka benki salama zaidi nchini kwa mwaka 2020 iliyotolewa Jumatatu wiki hii na jarida la kimataifa la Global Finance la jijini New York, Marekani.NMB yashinda tuzo ya benki salama 2020
Benki ya NMB imeshinda tuzo ya umahiri baada ya kuibuka benki salama zaidi nchini kwa mwaka 2020 iliyotolewa Jumatatu wiki hii na jarida la kimataifa la Global Finance la jijini New York, Marekani. Read more