newsare.net
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (Zec), imesema kukosewa kwa majina, picha au jinsia kwa baadhi ya wapigakura kwenye daftari la wapigakura kumechangiwa na wapigakura wenyewe kushindwa kufanya uhakiki wa taarifa zao wakati kazi hiyo ilipofanyika.Zec yaweka wazi waliokosewa majina yao katika daftari la wapigakura
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (Zec), imesema kukosewa kwa majina, picha au jinsia kwa baadhi ya wapigakura kwenye daftari la wapigakura kumechangiwa na wapigakura wenyewe kushindwa kufanya uhakiki wa taarifa zao wakati kazi hiyo ilipofanyika. Read more