newsare.net
Mgombea mwenza wa Urais wa Chadema, Salum Mwalimu amesema endapo chama hicho kitashinda dola katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, kitatumia siku 365 kuwalipa wakulima wote wanadai fedha zao katika vyama vya ushirika.Chadema kutumia siku 365 kuwalipa fidia wakulima
Mgombea mwenza wa Urais wa Chadema, Salum Mwalimu amesema endapo chama hicho kitashinda dola katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, kitatumia siku 365 kuwalipa wakulima wote wanadai fedha zao katika vyama vya ushirika. Read more