newsare.net
Mgombea huyo amesema uchumi wa kisasa utakaotoa fursa kwa wananchi wengi zaidi unahitaji ushiriki wa kila mdau, hivyo Serikali yake itatambua na kuthamini mchango wa sekta binafsi kwa kuipa nafasi kubwa kwenye shughuli muhimu zitakazosaidia kuongeza mzungukoQueen aahidi kuipa kipaumbele sekta binafsi
Mgombea huyo amesema uchumi wa kisasa utakaotoa fursa kwa wananchi wengi zaidi unahitaji ushiriki wa kila mdau, hivyo Serikali yake itatambua na kuthamini mchango wa sekta binafsi kwa kuipa nafasi kubwa kwenye shughuli muhimu zitakazosaidia kuongeza mzunguko wa fedha, kutoa ajira hivyo kupunguza umasikini. Read more