newsare.net
Mgombea mwenza wa Chadema, Salum Mwalimu amesema chama hicho kikiibuka na ushindi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 kitatoa kipaumbele kwa watu si wanyamapori ikiwa wanyama hao watavamia makazi ya wananchi na kufanya uharibifu.Mwalimu: Tutatoa kipaumbele kwa watu si wanyamapori
Mgombea mwenza wa Chadema, Salum Mwalimu amesema chama hicho kikiibuka na ushindi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 kitatoa kipaumbele kwa watu si wanyamapori ikiwa wanyama hao watavamia makazi ya wananchi na kufanya uharibifu. Read more