newsare.net
Real Madrid na Barcelona, klabu vigogo katika soka nchini Hispania, zinakutana leo katika uwanja wa Camp Nou ikiwa ni mara ya kwanza msimu huu kukutana katika La Liga.Zidane ataka Madrid wapambane kwa Barcelona
Real Madrid na Barcelona, klabu vigogo katika soka nchini Hispania, zinakutana leo katika uwanja wa Camp Nou ikiwa ni mara ya kwanza msimu huu kukutana katika La Liga. Read more